1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muungano wa NASA walaani kufukuzwa Miguna Kenya

Isaac Gamba
8 Februari 2018

Mwanasiasa na wakili wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Miguna Miguna amewasili Canada baada ya kufukuzwa nchini humo. Miguna alilakiwa na Wakenya kadhaa waliomkaribisha nyumbani Canada. Isaac Gamba alizungumza na Moses Wetangula, mmoja wa viongozi wa NASA kuhusu sakata hilo.

https://p.dw.com/p/2sJO5