1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muswada wa katiba mpya wapitishwa Kenya

3 Aprili 2010

Mahakama za kadhi zajumulishwa kwenye katiba mpya

https://p.dw.com/p/MmSU
Rais Mwai Kibaki, kulia, na waziri mkuu wa Kenya Raila OdingaPicha: AP

Bunge la Kenya limepitisha muswada wa katiba mpya ya nchi hiyo, huku viongozi wa Kanisa wakielezea upinzani wao kuhusu yaliomo ndani ya katiba hiyo.

Grace Kabogo alizungumza na wakili na mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Nairobi katika kitivo cha sheria, Dr. Patrick Lumumba kwanza anaelezea mtazamo wake juu ya mswaada huo.