1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muswada wa BBI waelekea bungeni

Grace Kabogo
24 Februari 2021

Muswada wa Maridhiano wa BBI nchini Kenya unapelekwa bungeni baada ya zaidi ya kaunti 30 kuuridhia. Je Wakenya wa kawaida wana mtazamo gani kuhusu hatua hiyo? Fuatilia maoni yao kwenye video hii.

https://p.dw.com/p/3poK0