1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Musharraf akanusha kuhusika na mauaji ya Bhutto.

Abdul Mtullya4 Januari 2008
https://p.dw.com/p/Ck8p

ISLAMABAD.

Rais Pervez Musharraf wa Pakistan amekanusha madai kwamba serikali yake ilikula njama za kumwuua kiongozi wa upinzani bibi Benazir Bhutto. Akizungumza na wandishi habari wa nchi za nje mjini Islamabad, rais Musharraf amesema kuwa hakuna chochote kilichofichwa juu ya kuuawa bibi Bhutto na kwamba hayati Bhutto