1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Museveni: Raia wa DRC hawahitaji kuwa na viza kuingia Uganda

Lubega Emmanuel23 Desemba 2022

Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameelezea furaha yao kufuatia agizo la Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba haihitajiki tena kwa wao kupata vibali vya viza kuingia Uganda. Museveni ametoa angalizo kuwa kutokana na hali ya usalama inayozidi kuimarika kwenye maeneo kadhaa ya mipaka ya nchi hizo mbili, hapana haja kuwatatiza raia wa nchi hizo mbili. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/4LNfN