1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni ashutumu nchi za magharibi kuhodhi chanjo, COVID-19

Lubega Emmanuel28 Juni 2021

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyakosoa mataifa ya Magharibi kwa kile anachokitaja kuhodhi chanjo za COVID-19 dhidi ya mataifa yanayoendelea hasa bara Afrika. Museveni ameyahimiza mataifa ya Afrika kujishughulikia yenyewe kwa masuala ya chanjo, huku akifichuwa kuwa Uganda itakuwa na chanjo yake ya COVID-19 kufikia mwishoni wa mwaka huu. Lubega Emmanuel anaripoti.

https://p.dw.com/p/3vgCu