1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mukwege arejeshewa ulinzi na Umoja wa Mataifa

John Juma
11 Septemba 2020

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Dk. Dennis Mukwege, amerejeshewa ulinzi na vikosi vya usalama vya Umoja wa Mataifa kufuatia vitisho dhidi ya maisha yake.

https://p.dw.com/p/3iLql