Mugabe ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza | Media Center | DW | 17.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mugabe ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani tangu jeshi la nchi yake kutangaza kuchukuwa madaraka huku likikanusha kufanya mapinduzi, nchini Ujerumani mazungumzo ya kuunda serikali yakwama hadi sasa na huko Marekani, bunge lapitisha makato makubwa ya kodi. Yote ni kwenye Papo kwa Papo leo Novemba 17, 2017.

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)