1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muda wa Salamu na Muziki

Hawa Bihoga1 Aprili 2022

Mwaka unakwenda kasi kweli. Tayari tumeingia mwezi wa nne! Je mashabiki wa Salamu na Muziki ndani ya DW wanasemaje? Hawa Bihoga anazisoma salamu zenu huku akinogesha kipindi kwa burudani. Sikiliza!

https://p.dw.com/p/49KqH