Mtuhumiwa wa shambulizi la Berlin auwawa | Media Center | DW | 23.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mtuhumiwa wa shambulizi la Berlin auwawa

Mtuhumiwa wa shambulizi kwenye soko la Krismas la Berlin auwawa Italia, Trump na Putin wataka kuimarishwa kwa uwezo wa nchi zao kinyuklia na wapinzani DRC wakubaliana kumruhusu Kabila kuongoza hadi mwishoni mwa mwaka ujao, kwa sharti la kutobadili katiba

Tazama vidio 01:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)