1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mto Mara uko hatarini

Josephat Charo
6 Julai 2018

Mto Mara unaounganisha Kenya na Tanzania ni rasilmali inayotegemewa na wakazi wa nchi hizi mbili kwani unapitia kwenye mbuga ya Masai Mara hapa Kenya na ile ya Serengeti nchini Tanzania. Lakini mto huu unakumbwa na kitisho kikubwa kutokana shughuli za binadamu zinazotekelezwa karibu na hata vyanzo vya mto huo.

https://p.dw.com/p/30vRA
Tanzania - Fluss Mara
Wachimbaji wadogo wa madini Tarime Tanzania wakitumia zebaki kutafuta dhahabuPicha: DW/B. Maranga