Mtetezi wa Haki za Binaadamu Bwana Firmin Yagambi afikishwa mahakani nchini DRC | Matukio ya Kisiasa | DW | 01.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mtetezi wa Haki za Binaadamu Bwana Firmin Yagambi afikishwa mahakani nchini DRC

Mtetezi wa haki za binadamu huko DRC Bwana Firmin Yangambi anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kijeshi baada ya kukamatwa mjini Kisangani kwa tuhuma za kutaka kuanzisha uasi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Hatua hiyo imelaumiwa vikali na mashirika ya kutetea haki za binaadamu wakisema ni sehemu ya vitisho vya serikali.

Ripoti kamili na mwandishi wetu mjini Kinshasa Saleh Mwanamilongo.

Mwandishi: Salehe Mwana Milongo.

Mpitiaji Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com