1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtazamo wa wachambuzi kuhusu uvamizi wa Marekani Venezuela

5 Januari 2026

Wakati rais wa Venezuela Nicolas Maduro na mkewe wakipandishwa kizimbani jijini New York,bado shambulio la Marekani linazusha mitizamo tofauti katika ulingo wa kisiasa ndani ya Marekani. Kwa wafuasi wa Trump, ni hatua sahihi na kwa wakosoaji wake, ni hatua iliyopitiliza na ya hatari. Mubelwa Bandio, ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa akizungumza kutokea Maryland, Marekani.

https://p.dw.com/p/56MdC