Mtandao wa mabadiliko kwa wanaume unalenga kubadilisha tabia na fikra zao. | Afrika yasonga mbele | DW | 12.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mtandao wa mabadiliko kwa wanaume unalenga kubadilisha tabia na fikra zao.

Mtandao wa mabadiliko ya wanaume ni shirika lililo na mashirika mengine 25 na wanaharakati kutoka mashirika ya kiraia ya Msumbiji yanayofanya kazi kuhakikisha haki za binaadamu zinaheshimiwa. Shirika lina lengo la kubadilisha fikra za wanaume ili kupambana na ukatili wa kijinsia.

Tazama vidio 03:28