1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa kasi wa 5G waanza kutumika Kenya

Thelma Mwadzaya MMT22 Aprili 2021

Kenya sasa imejiunga na mataifa 3 barani Afrika yanayotumia mtandao wa kasi na kuaminika wa 5G.Mauritius,Namibia na Afrika Kusini ndio walioitangulia.Jee mtandao wa 5G utaleta tija na kubadili maisha kivipi? Jibu na maengine mengi ni kwenye makala ya Sema Uvume. Sikiliza

https://p.dw.com/p/3sMPw