Mtandao unaookoa vyakula vinavyotupwa Ujerumani | Media Center | DW | 30.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mtandao unaookoa vyakula vinavyotupwa Ujerumani

Tatuzo la utupwaji wa vyakula limekithiri katika nchi nyingi za Magharibi. Mwandishi wetu wa Berlin Harrison Mwilima alitembelea mtandao ambao unaokoa vyakula hivyo vinavyopaswa kutupwa. Hii hapa video yake.

Tazama vidio 02:34