1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtafaruku kati ya Hong Kong na China una maana gani?

Yusra Buwayhid
7 Agosti 2019

Karibu kila siku kumekuwa na maandamano mjini Hong Kong ambayo yanazidi kuwa na vurugu hali iliyopelekea China kutilia mkazo onyo lake dhidi ya waandamanaji hao ikisema wale wanaocheza na moto basi utawaangamiza. Msikilize mchambuzi wa masuala ya kisiasa akiwa mjini London, Uingereza Bwana Ahmed Rajab, na kwanza akieleza mtafaruku kati ya Hong Kong na China una maana gani?

https://p.dw.com/p/3NUtE