Mtaa wa mabanda wawekwa kwenye ramani Lagos | Media Center | DW | 05.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mtaa wa mabanda wawekwa kwenye ramani Lagos

Mtaa wa mabanda wa Makoko kuanzia sasa utaweza kuonekana katika ramani ya jiji la Lagos, Nigeria. Hatua hiyo itaurahisisha mtaa huo kutambulika rasmi, na maisha ya wakazi wake kuimarika.

Tazama vidio 02:18