Mswaada wa kutoa msamaha kwa waasi wa Kivu ya Kusini na Kaskazini wapitishwa bungeni DRC | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mswaada wa kutoa msamaha kwa waasi wa Kivu ya Kusini na Kaskazini wapitishwa bungeni DRC

Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo limepitisha mswaada wa kutoa msamaha kwa waasi wa mikoa ya Kivu ya kusini na Kaskazini.


Hata hivyo, hatua hiyo haijawaridhisha wanamgambo wa mkoa wa Ituri.Kutokana na hali hiyo kiongozi wa UPC, ameelezea kuwa ilibidi wanamgambo wa Ituri wapatiwe nao msamaha ili waliosalia msituni nao watoke huko.


Kutoka Beni Mwandishi wetu John Kanyunyu anaripoti zaidi
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com