1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu uchaguzi wa Zanzibar

13 Mei 2009

Wakati Zanzibar inaelekea katika heka heka za uchaguzi mkuu wa mwakani, Umoja wa Ulaya umesema unajiandaa kuhakikisha kwamba uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki, na matakwa ya wananchi yanaheshimiwa.

https://p.dw.com/p/HpSn
Bunge la Umoja wa Ulaya mjini StrasbourgPicha: AP

Kauli hiyo imekuja wakati Umoja huo ukisheherekea kuundwa kwake miaka 49 iliopita na ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni kuhimiza ubunifu na uvumbuzi.

Mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said ametutumia taarifa ifuatayo:

Mwandishi: Salma Said

Mhariri: Mohamed Abdulrahman