Msichana Jasiri: Naibu Spika-Bunge la Vijana EAC | Media Center | DW | 15.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Msichana Jasiri: Naibu Spika-Bunge la Vijana EAC

Katika umri mdogo amefaulu kufanya mengi kumwakilisha msichana katika bunge la vijana la Afrika Mashariki kadhalika katika masuala ya uandishi wa habari za kijamii. Hadija Halifa amezungumza na Khayyam Mustapha ambaye leo ndio msichana wetu jasiri. #msichanajasiri

Tazama vidio 04:58