Msichana Jasiri: Fahamu sanaa ya ′Uoni′ | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Msichana Jasiri: Fahamu sanaa ya 'Uoni'

Kundi la wasichana la jasiri linafanya sanaa ya uoni. Hii ni sanaa ya kufikirika kwa kutumia picha halisia na zile za kubuni na rangi. Kundi hili linatumia sanaa hiyo ngumu kufikisha changamoto zilizo kwenye jamii yao. Mwanahabari Chipukizi Hadija Halifa amewatembelea katika sehemu yao ya kuandaa kazi zao jijini Dar es Salaam. Tizama zaidi kwenye Msichana Jasiri

Tazama vidio 05:56