1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana anayewaelimisha vijana kabla kuhitimu elimu ya juu

Tatu Karema
30 Septemba 2022

Vijana wana nafasi gani ya kuchochea maendeleo ya vijana wengine? Tazama vidio hii na Hadija Halifa ya kijana Levina Likundi, anayetumia fasihi andishi ili kuwaelimisha vijana wenzake mambo muhimu kabla ya kuhitimu elimu ya juu . Ndoto yake kubwa ni kuona vijana wenzake wakiziishi ndoto zao. #Kurunzi 30.09.2022

https://p.dw.com/p/4HaHU