Mshindi wa shindalo la Papo kwa Papo | Media Center | DW | 22.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mshindi wa shindalo la Papo kwa Papo

Mshindi wa shindalo la vidio za Papo kwa Papo ni Edson Kabyemela. HONGERA SANA! Amejishindia iPod maridadi kutoka DW. Vidio yake inamhusu mwanafunzi mwenye umri wa miaka 29 anayeishi na ulemavu baada ya mguu wake kukatwa alipoumwa na mdudu. Lakini anajizatiti kimasomo na kimaisha. Tizama vidio hiyo ya Edson Kabyemela ambayo tumeishirikisha kwenye video zetu za Papo kwa Papo.

Tazama vidio 00:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)