1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Msanii wa uchekeshaji aomba radhi kwa Rais Magufuli

Sudi Mnette
15 Novemba 2019

Msanii wa sanaa ya vichekesho nchini Tanzania Idriss Sultan aomba radhi kwa rais wa taifa hilo John Magufuli baada ya kufanya kichekesho cha picha kwa dhima ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa kiongozi huyo.

https://p.dw.com/p/3T7Ey