Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Tanzania aapishwa leo | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.02.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Tanzania aapishwa leo

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amemteua Ismail Jussa msaidizi wa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani CUF Seif Shariff Hamad, kuwa mbunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

default

Rais Jakaya Kikwete amteua Bw.Jussa Ismail kuwa Mbunge

Uteuzi huo unaangaliwa na wachambuzi kama ni wa kuyapa nguvu maafikiano yaliofikiwa kati ya Rais  Amani Karume na  Bw. Hamad, kumaliza  miaka kadhaa ya mivutano ya kisiasa huko Zanzibar. Josephat Charo alizungumza na  Bw. Jussa ambaye ataapishwa rasmi hii leo na kumuuliza  jinsi alivyoupokea uteuzi huo.

Mahojiano/ Josephat Charo/Ismail Jussa

Mpitiaji :M.Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com