1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msaada wa kisheria kwa wafungwa wasiojiweza Malawi

John Juma
21 Juni 2017

Magereza ya Malawi yanajulikana kutokana na hali zao za kushtua na kusikitisha. Wafungwa husubiri kwa muda mrefu uchunguzi unapoendelea kufanywa dhidi yao. Waliofanya makosa madogomadogo wanashikiliwa pamoja na wahalifu sugu. Wengi wao hata hawajui kuwa wana haki ya kuwakilishwa na wakili. Hapo ndipo wanaharakati wa kisheria Steve Sikwese na Alfred Munika, wamejitokeza kusaidia.

https://p.dw.com/p/2f6tD