MS+ Kisuaheli Sendung 10:00 UTC - MP3-Stereo | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

MS+ Kisuaheli Sendung 10:00 UTC - MP3-Stereo

Ikulu ya White House yautaja uchunguzi wa ung'atuzi kuwa kinyume cha sheria/ Umoja wa Mataifa unakabiliwa na mzozo wa fedha/ Maabara ya kilimo yazinduliwa nchini DRC/ Uturuki inaendelea na mipango yake ya kulivamia kijeshi eneo la kaskazini mashariki la Syria

Sikiliza sauti 60:00