Mradi wa kuwasaidia wakimbizi vijana kambi ya Kakuma, Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mradi wa kuwasaidia wakimbizi vijana kambi ya Kakuma, Kenya

Mradi wa kwanza wa kuwawezesha vijana wenye vipaji katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, umezinduliwa nchini kenya. Kambi hiyo huwahifadhi wakimbizi kutoka mataifa mbali mbali waliotoroka vita ama dhulma katika mataifa yao.

Sikiliza sauti 09:45