Mradi wa bwawa la kuzalisha umeme Ethiopia | Mada zote | DW | 16.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mradi wa bwawa la kuzalisha umeme Ethiopia

Kazi katika mradi wa bwawa la maji la kuzalisha umeme huko Ethiopia imeshika kasi huku jaribio la kuutatua mgogoro wa Ethiopia na nchi jirani zinazopakana na mto Nile zikiendelea.