1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moto wateketeza mali za wafanyabiashara huko Kenya

25 Septemba 2019

Wafanyibiashara katika soko kubwa eneo la Magharibi nchini la Kenya - Kibuye lililopo mjini Kisumu, wanakadiria hasara kubwa ya mali yao iliyoteketezwa na moto asubuhi ya leo. Sikiliza ripoti ya Musa Naviye kutoka Kisumu.

https://p.dw.com/p/3QDrx