MOGADISHU: Polisi ameuawa katika shambulio la waasi | Habari za Ulimwengu | DW | 19.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOGADISHU: Polisi ameuawa katika shambulio la waasi

Polisi mmoja ameuawa na watu waliobeba silaha katika wimbi la mashambulio yanayofanywa dhidi ya vituo vya serikali katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.Polisi wengine 3 pia walijeruhiwa katika shambulizi hilo.Kwa mujibu wa afisa wa polisi,waasi waliokuwa na silaha kubwa walishambulia kituo cha polisi wakati wa usiku katika mtaa wa Huriwa,kaskazini mwa Mogadishu.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com