MLC yasikitishwa na hukumu ya Bemba | Matukio ya Afrika | DW | 18.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

MLC yasikitishwa na hukumu ya Bemba

Chama cha upinzani MLC nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kimehuzunishwa na uamuzi wa mahakama ya jinai ya kimataifa, ICC kwa dhidi ya kiongozi wake Jean-Pierre Bemba na kinataraji kukata rufaa. Saleh Mwanamilongo anaaarifu.

Sikiliza sauti 02:30