1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Waandishi wa Habari mjini Kinshasa

23 Oktoba 2012

Rais Joseph Kabila akutana na waandishi wa Habari wa kutoka Uganda mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/16Uua
Mji wa Kinshasa, kulikofanyika mkutano wa Waandishi wa Habari
Mji wa Kinshasa, kulikofanyika mkutano wa Waandishi wa HabariPicha: Creative Commons/Moyogo

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ameitolea wito Rwanda ikome kuwa kile anachokiita "kijana mbaya" wa kanda la maziwa makuu. Rais Kabila aliyasema hayo alipokutana na waandishi wa habari kutoka Uganda mjini Kinshasa. Leylah Ndinda na taarifa hiyo.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Leyla Ndinda

Mhariri Yusuf Saumu

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi