1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa usuluhishi Bujumbura

19 Oktoba 2007

Hapo kesho utafanyika jijini Bujumbura mkutano wa usuluhishi, wajumbe wa serikali ya Burundi, wale wa Palipehutu FNL, pamoja na wale wa Umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika. Mkutano huo walenga kutia changa moto kwenye tume ya kufuatilia kwa karibu utekelezaji mkataba wa usitishwaji mapigano uliowekwa saini Septemba saba mwaka jana. Hata hivyo FNL imesema haitoshiriki.

https://p.dw.com/p/C7gx