1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa UNHCR pamoja na mawaziri wa mambo ya ndani ya DRC na wa Tanzania

15 Mei 2008

Shirika la UNHCR wamekutana na mawaziri wa mambo ya ndani ya Kongo na Tanzania kuhusu swala la wakimbizi.

https://p.dw.com/p/E0W0

Mawaziri wa mambo ya ndani wa DRC na Tanzania wamekutana mjini kinshasa pamoja na shirika la UNHCR ili kukadiria uwezekano wa kuwarejesha maelfu ya wakimbizi wa kongo ,wanaoendelea kuishi nchini Tanzania.

Taarifa zaidi na saleh Mwanamilongo: