Mkutano wa kutathmini mizozo katika maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu wa Konrad Adenauer na Hans Seidel ya hapa Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 06.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkutano wa kutathmini mizozo katika maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu wa Konrad Adenauer na Hans Seidel ya hapa Ujerumani

Katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, unafanyika mkutano wa kutathimini mizozo katika eneo la maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu mbili za Ujerumani KONRAD ADENAUER na HANS SEIDEL.

Zingatio ni ukiukaji wa haki za binaadamu kuanzia mauaji, ubakaji na kuingizwa watoto katika mapigano. Athari za mizozo ni pamoja na magonjwa , utapia mlo na  watu kuwa wakimbizi. Miongoni mwa washiriki katika mkutano huo, Waziri mkuu  wa zamani wa Tanzania Frederick Sumaye ambaye alizungumza na Jane Nyingi kwa njia ya simu na kwanza anaelezea mchango wake katika mkutano huo ?

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com