1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kihistoria kati ya Trump na Kim

Saumu Mwasimba
11 Juni 2018

Ulimwengu unausubiri mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini utakaofanyika Jumanne nchini Singapore.Viongozi wote wameshafika na maandalizi ya mkutano huo yanaendelea.Ni mara ya kwanza Trump atakutana uso kwa macho na kiongozi huyo wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

https://p.dw.com/p/2zHAy