1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa IGAD wakutana Nairobi kujadili juu ya mizozo

Thelma Mwadzaya5 Julai 2022

Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya eneo la Pembe ya Afrika chini ya mwamvuli wa IGAD kimefanyika mjini Nairobi. Ajenda ya kikao imejikita katika masuala ya ukame, janga la nzige, usalama na uhusiano wa kikanda. Mkutano huu unafanyika wakati ambapo Sudan na Ethiopia zinanyosheana vidole vya lawama kufuatia mzozo wa mpaka kati ya vikosi vyao. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4DhLJ