Mkutano wa COP25 wang′oa nanga Madrid | Media Center | DW | 02.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mkutano wa COP25 wang'oa nanga Madrid

Mkutano wa kimataifa wa kujadili masuala yanayofungamana na mabadiliko ya tabia nchi COP25 umeanza leo mjini Madrid Uhispania. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa juhudi za sasa bado hazitoshi kusuluhisha matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi.

Tazama vidio 00:45