Mkutano wa Benki ya maendeleo ya Afrika wafunguliwa mjini Maputo | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Benki ya maendeleo ya Afrika wafunguliwa mjini Maputo

Mkutano wa kila mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, ADB, ulifunguliwa jana katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo.

Maputo mji mkuu wa Msumbiji kunakofanyika mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika

Maputo mji mkuu wa Msumbiji kunakofanyika mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika

Mkuu wa benki hiyo, Donald Kaberuka, alionya kwamba vipimo vinavopanda vya kukua uchumi katika nchi za Afrika havionyeshi taathira katika kupungua viwango vya umaskini katika nchi hizo. Alisema bei zinazopanda za vyakula, upungufu wa nishati na dunia kuwa na ujoto zaidi ni mambo yatakayozingatiwa katika mkutano huo wa siku mbili.

Othman Miraji alizungumza na mwandishi wa habari Emmanuel Camilo, anayehudhuria mkutano huo, na mwanzo alimuelezea juu ya yale yaliomo katika ajenda ya mkutano huo...


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com