Mkutano wa Baraza tendaji la Umoja wa Afrika umeshindwa kujadili suala la Zimbabwe | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Baraza tendaji la Umoja wa Afrika umeshindwa kujadili suala la Zimbabwe

Mkutano wa Baraza tendaji la Umoja wa Afrika -AU , umemalizika mjini Arusha nchini Tanzania, lakini ulishindwa kulijadili suala la mgogoro wa Kisiasa nchini Zimbabwe.

default

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe

Ni sababu gani zilizochangia kushindwa kwa Mkutano huo uliowashirikisha Mawaziri wa Mambo ya Nje katika Umoja huo wa Afrika.

Scholastica Mazula amezungumza na naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Balozi Seif Idd.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com