Mkutano wa 55 wa Jumuiya ya Madola mjini Arusha,Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 06.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa 55 wa Jumuiya ya Madola mjini Arusha,Tanzania

Mkutano wa 55 wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola, Commonwealth, unakutana mjini Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Moja ya mada iliowagusa sana wajumbe katika mkutano huo ni kuanzishwa serikali za mseto kama suluhu ya kumaliza migogoro ya kisiasa inayotokana na kuvurugika kwa mazoezi ya uchaguzi barani Afrika. Suala muhimu lilikuwa namna ya kupata muwafaka wa kukomesha vurugu na mabishano kabla na baada ya uchaguzi.

Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na Hamad Rashid Mohammed, mkuu wa upinzani katika bunge la Tanzania na mbunge wa Wawi, Kisiwani Pemba, kwa tiketi ya Chama cha CUF, kuhusu msimamo wa chama chake juu ya serikali za mseto baada ya chaguzi katika nchi za Afrika...

Mtayarishi:Othman Miraji

Mpitiaji: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com