Mkutano kuhusu Usalama mpakani baina ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo na Rwanda | Matukio ya Kisiasa | DW | 03.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mkutano kuhusu Usalama mpakani baina ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo na Rwanda

Maafisa wa serikali za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda wamekamilisha mkutano wa siku mbili uliojadilia masuala ya usalama kwenye maeneo ya mipaka.

Ramani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Ramani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Hata hivyo serikali ya Rwanda imekataa katakata kufanya majadiliano na waasi wa FDLR huku hatua ya kuwasalimisha waasi hao ikizua mitazamo tofauti.Waasi wa FDLR walio na asili ya Rwanda wanaendesha operesheni zao mashariki mwa Kongo eneo linalopakana na Rwanda.

Mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwana Milongo ameandaa taarifa ifuatayo.


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com