Mkutano kuhusu swala la soko la pamoja la Afrika Mashariki | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.11.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mkutano kuhusu swala la soko la pamoja la Afrika Mashariki

Tanzania imelaumiwa na mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki kwa kuhujumu juhudi za kubuni soko la pamoja la jumuiya hiyo.

Hayo yalijitokeza katika kikao cha 19 cha baraza la mawaziri wa jumuiya ya Afrika mashariki kilichofanyika Zanzibar hivi karibuni na kutolewa maelezo leo na waziri wa Kenya katika jumuiya hiyo kwa waandishi wa habari mjini Nairobi.

Zaidi anayo mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi.


Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com