1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano kuhusu kero za Muungano nchini Tanzania

20 Mei 2009

Mjini Dar es Salaam, ulifanyika mkutano wa mabaraza ya mawaziri ya serikali ya Muungano ya Tanzania na ya Zanzibar kuzungumzia kero za Muungano.

https://p.dw.com/p/HuDs
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa TanzaniaPicha: AP Photo

Kero hizo mara nyingi zimesababisha mabishano kati ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Bara na Visiwani, bila ya kujali wanatokea vyama gani vya kisiasa.

Othman Miraji alizungumza na Mohammed Seif Khatib, waziri wa nchi, ofisi ya makamo wa Rais, kuhusu masuala ya Muungano, na alianza kwa kuelezea matukio ya mkutano huo...


Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman