Mkurugenzi Mkuu wa DHL Freight kutoka Afrika | Masuala ya Jamii | DW | 12.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mkurugenzi Mkuu wa DHL Freight kutoka Afrika

Maelfu ya waafrika huondoka nchini mwao kwenda kusoma nchi za nje. Wachache miongoni mwao hupata mafanikio, lakini unaweza kuhesabu wale ambao wanaweza kupanda hadi ngazi za juu za utawala katika makampuni ya kimataifa.

Mmoja wa hao waliofanikiwa kuwa kileleni katika makampuni makubwa ya kimataifa ni Amadou Diallo kutoka Senegal, ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa DHL Freight, tawi la kampuni kubwa ya kijerumani, Deutsche Post. Chiponda Chimbelu amekutana na Diallo katika ofisi yake, na katika mazungumzo yao Diallo anasimulia namna alivyofanikiwa kufika mahali alipo leo hii. (Ripoti yake imetafsiriwa na Daniel Gakuba)

Kusikiliza ripoti hii bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Chiponda Chimbelu /Daniel Gakuba

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com