Mkimbizi wa Syria alienzisha kampuni ya upishi Ujerumani | Media Center | DW | 27.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mkimbizi wa Syria alienzisha kampuni ya upishi Ujerumani

Alikimbia vita kwao Syria na kuomba hifadhi nchini Ujerumani. Hivi sasa Salma Al-Armarchi anamiliki kampuni ya upishi mjini Berlin iliyojipatia umaarufu miongoni mwa Wajerumani kwa mapishi yake ya Kisryia yanayoendana na vyambato vya Kijerumani. #Kurunzi Ujerumani 27.02.2020

Tazama vidio 02:56