1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkenya ashinda tuzo ya "German Africa Award"

24 Oktoba 2019

Mtaalamu wa maswala ya mawasiliano na teknolojia, Juliana Rotich, kutoka Kenya, ndiye mshindi wa tuzo ya Ujerumani kwa ajili ya Afrika, "German Africa Award" ya mwaka huu wa 2019.

https://p.dw.com/p/3Rqh5