Mkenya ashamirisha migahawa Nigeria | Mada zote | DW | 09.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mkenya ashamirisha migahawa Nigeria

Mwanamke mfanyabiashara kutoka Kenya, Nasra Ali anataka kuwahamasisha wanigeria kuipenda ladha ya kahawa yao, na anaazimia kuendeleza kilimo cha kahawa akishirikiana na wakulima Mashariki mwa nchi hiyo.

Tazama vidio 03:17
Sasa moja kwa moja
dakika (0)